>

STAMINA AFICHUA KILICHOMUUA DIRECTOR KHALFANI…

Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii. Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo…

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

LIGI Kuu Tanzania Bara  inazidi kushika kasi ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo timu zinaendelea kupambania pointi tatu. Ipo wazi kwamba vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga ilisepa na pointi tatu kwenye mchezo wake Mei 5 2024 ubao uliposoma Mashujaa 0-1 Yanga bao likifungwa na Joseph Guede dakika ya 41 sasa inafikisha pointi 65. Mei…

Read More

Shindano la Expanse Kasino Maokoto Kama Yote. Cheza kwa Kuanzia Tsh 400/=

Ukisikia Bosi kacheka ujue Maokoto yanafuatia, Kupitia promosheni pendwa ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni unaweza kujishindia zawadi kibao, cha kufanya Jisajili Meridianbet kisha cheza shindano la Expanse ushinde.   Mtoa huduma wa michezo ya kasino ya mtandaoni Expanse Studio anashirikiana na Meridianbet kuwaletea shindano kubwa la zawadi, mgao wa Mamilioni unakusubiri, kwa kucheza…

Read More

LIGI KUU BARA: MASHUJAA 0-1 YANGA

FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Lake Tanganyika Mashujaa 0-1 Yanga Goal Joseph Guede dakika ya 41. Bao la Joseph Guede limedumu mpaka mwisho wa mchezo katika mzunguko wa pili msimu wa 2023/24. Yanga imekomba pointi tatu mazima nakufikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 25. Mashujaa wapo kazini Uwanja wa Lake Tanganyika kusaka pointi…

Read More

MASHUJAA KUONYESHA USHUJAA KWA YANGA

BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kwamba lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya vinara wa ligi ambao ni Yanga. Mchezo huo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kwa wababe wote wawili kusaka pointi tatu muhimu. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa…

Read More

AZAM FC KUWAKABILI MTIBWA SUGAR MANUNGU

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wameweka kambi mji kasoro bahari, Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Azam FC imetoka kupata ushindi wa mabao 4-1 Namungo kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup inakutana na Mtibwa Sugar iliyowafungashia virago kwenye hatua…

Read More

YANGA KUWAKABILI MASHUJAA KIGOMA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo watakuwa kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Mashujaa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Yanga ni namba moja kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 62 baada ya kucheza mechi 24. nafasi ya pili ni Azam FC wenye pointi 54 huku Simba wakiwa nafasi ya…

Read More

Suka Jamvi Lako Leo na Meridianbet

Leo hii viwanja mbalimbali vitawaka moto ambapo kila timu inaingia uwanjani kusaka pointi tatu za maana. Je wewe leo hii unamdhamini nani akupe pesa uamke vizuri siku ya kesho?. Ujerumani pia BUNDESLIGA kitawaka kama kawaida Union Berlin atakuwa mwenyeji wa VFL Bochum huku timu hizi zikiwa zimefatana sana kwenye msimamo wa ligi yani nafasi ya…

Read More

DIRECTOR KHALFANI AFARIKI LEO HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI

Muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro’ amefariki Dunia leo asubuhi  Mai 5, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, taasisi ya mifupa MOI akiwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo lililopelekea changamoto ya kupooza upande wake…

Read More

HAWA HAPA WABABE NDANI YA NUSU FAINALI

WABABE wanne ndani ya CRDB Federation Cup safari imekamilika tayari kwa kila timu kutambua mpinzani wake hatua ya nusu fainali. Yanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walipenya hatua ya nusu fainali kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 3-0 Tabora United. Yanga hatua ya nusu fainali itakuwa dhidi ya Ihefu….

Read More

YANGA NDANI YA KIGOMA KUWAKABILI MASHUJAA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga kituo kinachofuata ni dhidi ya Mashujaa ya Kigoma ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Yanga imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Kwenye mchezo wa CRDB Federation, Yanga ilipata ushindi wa mabao 3-0…

Read More

IKIENDI YA KUOKOTA MAOKOTO

Hii ni wikiendi ya kuokota maokoto na sehemu pekee ya kupata maokoto hayo ni pale kwenye nyumba ya mabingwa wa kubashiri kampuni ya Meridianbet kupitia michezo itakayokwenda kupigwa wikiendi hii. Ligi mbalimbali zitarejea leo Jumamosi na kumuwezesha mteja wa Meridianbet kufurahia wikiendi yake, Kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamegawa ODDS KUBWA katika michezo…

Read More

PROMOSHENI YA NON STOP DROP INATOA MKWANJA MREFU |SHIRIKI KWA KUCHEZA KASINO

Jiunge na promosheni ya Kusisimua iitwayo NON-STOP DROP, inayotolewa na Meridianbet Jiandae kwa sherehe ya zawadi za mamilioni ya pesa zisizoweza kufikirika. Promosheni hii ya NON-STOP DROP inaletwa kwako na Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa ushirikiano na Playson. Unachohitaji kufanya ni kucheza michezo ya sloti iliyochaguliwa kutoka kwa mtengenezaji maarufu huyu na unaweza kuchukua sehemu…

Read More