>

DODOMA JIJI YAIPIGIA HESABU SIMBA

BENCHI la ufundi la Dodoma Jiji limebainisha kwamba limefanya maandalizi mazuri kukabiliana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kusaka pointi tatu muhimu kutokana na nafasi ambazo timu hizo zipo. Simba inapambana kujinasua kutoka…

Read More

YANGA MWENDO WAO KUIKABILI IHEFU

MABINGWA watetezi wa taji la CRDB Federation Cup wana kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Ihefu katika mchezo wa hatua ya nusu fainali, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi, Yanga ilianza raundi ya pili kwa kushuhudia ubao ukisoma Yanga 5-1 Hausing, Yanga 5-0 Polisi Tanzania, Dodoma Jiji 0-2 Yanga…

Read More

MCHEZO WA FRUIT O RAMA ULIPO USHINDI WA KASINO

Karibu kwenye burudani ya kasino ya mtandaoni isiyozuilika yenye kutawaliwa na alama za matunda! Ukipanga alama hizi kwa mfululizo kamili wa ushindi, utashinda zawadi za kushangaza. Ni wakati wa kuanza safari hii isiyosahaulika kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni! Jisajili Meridianbet hapa. Maelezo ya Msingi Fruit O Rama ni kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet wenye safu…

Read More

AZAM FC WALIPIGIA HESABU KOMBE LA YANGA

CHINI ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kushuka Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya fainali dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Hesabu kubwa za Azam FC ni kupata ushindi kwenye mchezo huo ili kutwaa taji la CRDB Federation Cup ambalo lipo mikononi mwa Yanga. Ikumbukwe kwamba…

Read More

DEAR MSOMI KAZI KALI KUTOKA KWA NYASUBI

DEAR msomi ni zawadi ya mwamba Nacha A Sound From Nyasubi anakwambia mafanikio na elimu haviusiani unajikuta unajikuta dalali na ulisomea urubani, nyumbani huwezi kaa sio vimbetwa. Kazi kubwa ya ubongo wa mwamba anayefanya vema katika muziki wa kizazi kipya akiwa na mkali kutoka Morogoro Stamina halafu kiitikio ni sauti ya Mkwawa. Stamina anasema shepu…

Read More

HUYU HAPA MRITHI MIKOBA YA BENCHIKHA SIMBA

INAELEZWA kuwa kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Abdelhak Benchikha ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola ambapo mchezo wao ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji unatarajiwa kuchezwa Mei 17 2024 Uwanja wa Jamhuri,…

Read More

MANCHESTER UNITED NA CHELSEA ZIMEIBUKA NA USHINDI EPL

Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 3-2 Newcastle United ⚽ Mainoo 31’ ⚽ Diallo 57’ ⚽ Højlund 84’ ⚽ Gordon 49’ ⚽ Hall 90+2’…

Read More

KLABU ZINAZOSHIRIKI EPL KUPIGA KURA YA KUFUTA MATUMIZI YA ‘VAR’

Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya ‘VAR’ kuanzia Msimu ujao – Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024 ambapo imeelezwa Bodi inatambua haki ya Wolves kutoa pendekezo hilo, lakini inadhani…

Read More

YANGA BALAA KWENYE UTUPIAJI HUKO

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…

Read More

EPL, LA LIGA, LIGUE 1 NA COPPA ITALIA MOTO UTAWAKA LEO

Kunako ligi kadhaa barani ulaya leo moto utawaka katika viwanja tofauti tofauti kwani vilabu kadhaa vitashuka dimbani kumenyana katika michezo ya mwisho mwisho ya kukamilisha ligi. Michezo hii itakayopigwa leo itawaweka wateja wa Meridianbet katika mazingira mazuri ya kupiga mkwanja katikati ya wiki, Kwani michezo yote hiyo imepewa ODDS KUBWA na bomba pale kwenye tovuti…

Read More

SIMBA HESABU KWA DODOMA JIJI

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa maandalizi yanaanza kuelekea mchezo wao ujao dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Ipo wazi kwamba mchezo huo awali ulipangwa kuchezwa Mei 16 2024 lakini umepangiwa tarehe mpya ambayo itakuwa ni Mei 17 2024. Mchezo uliopita Simba chini ya Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola…

Read More