WAZIRI NDUMBARO ATEUA KAMATI YA HAMASA KWA TIMU ZA TAIFA, BABA LEVO, JOTI, OSCAR OSCAR
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), ameteua Kamati Maalum kwa ajili ya hamasa kwa timu za Taifa zilizofuzu mashindano mbalimbali ya Kimataifa. Kamati hii inaundwa na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu pamoja na Wajumbe 16. Kamati hii itakuwa na jukumu la kuhamasisha washabiki na wapenzi wa michezo ndani na nje ya nchi…