
ARSENAL YAMPIGA MTU MKONO LIGI KUU
Gabriel ‘Jesus’ amefunga magoli mawili wakati Washika Mitutu Arsenal wakiendelea kuweka hai matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kushusha kipigo cha 5-1 dhidi ya Crystal Palace ikiwa ni ushindi wao mkubwa zaidi msimu huu. Arsenal imefikisha pointi 33 baada ya mechi 17 huku wakiendelea kusalia nafasi ya tatu kwenye msimamo wa…