ALHAMISI NI KWAAJILI YA EUROPA LEAGUE

Je unajua kuwa leo hii ni zamu yako na wewe kuchukua maokoto na wakali wa Meridianbet?. Ingia sasa kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi kwani odds kubwa zipo hapa.

Pesa ipo hapa kwenye mechi ya FC Porto dhidi ya Midtjyland ya kule Denmark ambao walipotez amechi yao iliyopita huku mwenyeji yeye akitoa sare mechi yake iliyopita. Leo hii timu inataka ushindi mechi yake hii huku Meridianbet wakimpendelea mwenyeji kushinda mechi leo kwa ODDS 1.30 kwa 10. Je wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.

Kwa upande wa Glasgow Rangers wao watakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Tottenham Spurs ya Uingereza ambao wametoka kupoteza mechi ya igi. Wote wana pointi 10 hadi sasa ambapo vijana wa Ange ndio wamepewa nafasi kubwa ya kushinda leo hii kwa ODDS 2.25 kwa 2.90. Beti hapa.

Lyon uso kwa uso dhidi ya Frankfurt kutoka kule Ujerumani ambapo mechi yake iliyopita, alishinda wakati kwa mwenyeji yeye pia alishinda. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.14 kwa 3.30 na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Nani unamdhamini akupe ushindi leo?. Bashiri hapa.

Nafasi ya kuibuka bingwa ipo hapa kwenye mechi za EUROPA ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo ndani ya Meridianbet. Pia unaweza ukacheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Pia Hoffenheim ambaye alipoteza mechi yake iliyopita dhidi ya FCSB ambaye yeye alitoa sare mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 25 na mgeni wake yupo nafasi ya 10. Meridianbet inampa Mjerumani nafasi ya kushinda kwa ODDS 1.51 kwa 6.00. Bashiri hapa.

Pia Galatasaray atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Malmo FF, ambaye ameshinda mechi moja pekee kati ya 5 alizocheza. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 4 akiwa na pointi zake 11 pekee huku nafasi ya kuondoka na pointi 3 akipewa Mturuki kwa ODDS 2.06 kwa 3.50. Jisajili hapa.

Vilevile Olympiacos Piraeus atamleta kwake FC Twente ambapo mwenyeji alitao sare mechi yake iliyopita wakati kwa mgeni yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.78 kwa 4.60. Tengeneza jamvi hapa.

Mashetani wekundu, Manchester United baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya FC Viktoria Plzen ambapo timu zote zina pointi 9 kwenye msimamo wa Europa. Je Mashetani Wekundu watafanya nini ugenini leo? 5.40 kwa 1.64 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

AS Roma watakywa nyumbani kupepetana dhidi ya SC Braga ambao wana pointi 7 hadi sasa. Muitalia yeye ana pointi 6 pekee huku mara ya mwisho kukutana kwenye Europa, Roma aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini?. Suka jamvi lako hapa.

Vilevile Ajax kutoka kule Uholanzi atakuwa kibaruani dhidi ya Lazio Rome ya Italia ambao wapo nafasi ya 2 ikiwa wakishinda leo hii watapanda hadi nafasi ya 1, wakati kwa wageni wao wapo nafasi ya 6 tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2000 ambapo hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Nani kuondoka kifua mbele leo?. 2.25 kwa 3.10 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.

Bodoe/Glimt atakuwa mwenyeji wa Besiktas Instanbul ya Uturuki ambapo alipigika mechi iliyopita, wakati kwa mwenyeji yeye alishinda mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee huku nafasi ya kuondoka kidedea ikienda kwa mwenyeji kwa ODDS 1.69 kwa 4.80. Tandika jamvi hapa.