
#BREAKING: DK NDUGULILE AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU INDIA…
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile amefariki dunia. Dkt. Ndugulile amekutwa na mauti wakati akipatiwa matibabu nchini India. Ameandika Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X akiambatanisha na picha ya Dkt. Ndugulile, “I hate death” kwa…