STARS CHALI, SUDAN YASONGA MBELE KUFUZU CHAN 2024
Timu ya taifa ya Tanzania imepoteza kwa mkwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Sudan kwenye mchezo wa kuwania kufuzu CHAN 2024. Kwa matokeo hayo Sudan wamesonga mbele na Tanzania watashiriki fainali hizo kama wenyeji sambamba na Nchi za Kenya na Uganda. FT: Tanzania πΉπΏ 1οΈβ£-0οΈβ£ πΈπ© Sudan (Agg 1-1, Pen 5-6) β½οΈ Chrispine Ngushi 34β