
HIZI HAPA MECHI ZIJAZO ZA YANGA NA SIMBA
BAADA ya Kariakoo Dabi kugota mwisho mzunguko wa kwanza na ubao wa Uwanja wa Mkapa Oktoba 19 kusoma Simba 0-1 Yanga kazi bado inaendelea kwa Ligi Kuu Bara mechi kuwa za moto huku vinara wakiwa ni Singida Black Stars ambao walikomba pointi tatu kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo. Oktoba 20 ubao wa Uwanja wa…