NYAKUA MKWANJA LEO KUPITIA MICHUANO YA UEFA EUROPA LEAGUE

Meridianbet leo wanaweza kua sababu ya wewe kunyakua mkwanja wa kutosha kupitia michuano ya Uefa Europa League, Kwani leo itapigwa michezo mikali ya michuano hiyo ambayo imepewa Odds bomba. Michezo ya Europa league imekua ikiwapa watu wengi fursa ya kunyakua mamilioni kila ambapo michuano hii inapokua inachezwa, Hivo leo ni siku nyingine tena ya kupata…

Read More

‘PEP GUARDIOLA MNENE’ KOCHA MPYA NAMUNGO

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Simba Sc, Juma Mgunda ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Namungo Fc ambapo atasaidiwa na Kocha Ngawina Ngawina, Shadrack Nsajigwa na Vladimir Niyonkuru. Taarifa iliyotolewa na Wauaji hao wa Kusini imebainisha kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera amebadilishiwa majukumu ambapo kwa sasa atakuwa mshauri wa benchi la Ufundi.  

Read More

BARCELONA YAWAPIGA CHUMA NNE BAYERN MUNICH

Raphinha amefunga hat-trick huku Robert Lewandowski akifunga bao lake la 97 kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati Bayern Munich ikipokea kichapo cha 4-1 dhidi ya Barcelona katika dimba la OlΓ­mpic LluΓ­s Companys. FT: Barcelona πŸ‡ͺπŸ‡Έ 4-1πŸ‡©πŸ‡ͺ Bayern Munich ⚽ 1’ Raphinha ⚽ 36’ Lewandowski ⚽ 45’ Raphinha ⚽ 18’ Kane ⚽ 56’ Raphinha 𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„:…

Read More

CLEMENT MZIZE ANA KAZI KUBWA YANGA

CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga ana maajabu yake ndani ya Bongo kutokana na kupenya katika kikosi cha kwanza mbele ya miamba Prince Dube, Jean Baleke, Kennedy Musonda ambao wote ni washambuliaji akiwa na kazi kubwa ya kufanya kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Mzize alianzia benchi na alipopata nafasi…

Read More