
MANCHESTER CITY YASHINDA DAKIKA ZA JIONI DHIDI YA WOLVERHAMPTON
Bao la dakika za jiooonia John Stones limeipatia Manchester City alama zote dhidi ya Wolverhampton katika dimba la Molineux kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Wolves 1-2. Man City ⚽ 7’ Larsen ⚽ 33’ Gvardiol ⚽ 90+5’ Stones Manchester City imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu England ikifikisha pointi 20 baada ya mechi 8…