
MASHUJAA YAITULIZA COASTAL UNION, MATAMPI YAMKUTA
KUTOKA Kigoma mwisho wa reli huku wakiwa wanatumia Uwanja wa Lake Tanganyika kwenye mechi za nyumbani, Mashujaa wamewatuliza Coastal Union kwa kusepa na pointi tatu mazima katika mchezo wa ligi wakiwa ugenini. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja ulichezwa Septemba 13 ambapo dakika 15 za mwanzo zilitosha kuwapa ushindi Mashujaa kwa kupachika…