
SIMBA: HATUTAKI KUISHIA HAPA, MALENGO NI MAKUNDI KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika hawataki kuishia hatua ya pili bali malengo ni kuona kwamba wanatinga hatua ya makundi. Kazi pekee inayohitajika kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids ni kupata ushindi kwenye mchezo ujao dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya unaotarajiwa kuchezwa…