>

YANGA WATINGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA, YAIPIGA CBE Agg. 7-0

Wananchi wametinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa 7-0 dhidi ya CBE ya Ethiopia kwenye mchezo wa hatua ya kwanza.

Wananchi wamejikusanyia milioni 30 za goli la Mama baada ya kuandika magoli sita.

Yanga Sc 🇹🇿 6-0 🇪🇹 CBE SA (Agg. 7-0)
⚽ Chama 35’
⚽ Mzize 46’
⚽ Aziz Ki 74’
⚽ Mudathir 87’
⚽ Abuya 90+1’
⚽ Aziz Ki 90+3’