Skip to content
Tuesday, July 28, 2026
  • Shujaa wa Kombe la Dunia Vozinha Ajiunga na Colo Colo ya Chile
  • Tetesi za Usajili: Arsenal Yamwania Vinicius Jr, Salah, Zirkzee na Savinho Wabadilisha Mwelekeo
  • Early Payout ya Meridianbet Yafungua Milango ya Ushindi wa Haraka
  • Meridian Icy Fruits kama Sehemu ya Burudani ya Kidijitali ya Kisasa

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Shujaa wa Kombe la Dunia Vozinha Ajiunga na Colo Colo ya Chile
  • Tetesi za Usajili: Arsenal Yamwania Vinicius Jr, Salah, Zirkzee na Savinho Wabadilisha Mwelekeo
  • Early Payout ya Meridianbet Yafungua Milango ya Ushindi wa Haraka
  • Meridian Icy Fruits kama Sehemu ya Burudani ya Kidijitali ya Kisasa

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2024
  • September
  • 22

September 22, 2024

  • Sports

SIMBA YAFANYA KWELI KWA MKAPA, MABULULU MAJANGA

Saleh2 years ago2 years ago01 mins

USHINDI wa mabao 3-1 waliopata Simba mbele ya Al Ahli Tripoli unawapa tiketi ya kutinga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika wakikomba milioni 15 za goli la mama. Al Ahli Tripoli walianza kupachika bao dakika ya 16 kupitia kwa Cristovao Mabululu ambaye alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 90 Simba mabao yamefungwa na Kibu Dennis…

Read More
  • Sports

KIMATAIFA YANGA WAKOMBA MAMILIONI, HAO MAKUNDI

Saleh2 years ago2 years ago01 mins

WAPINZANI wa Yanga kimataifa, CBE SA ya Ethiopia wameipa Yanga jumla ya milioni 35 kwa kufungwa jumla ya mabao 7-0 ndani ya dakika 180 katika anga la kimataifa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Rekodi imeandikwa Septemba 21 2024 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi kutinga hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 6-0 CBE…

Read More
  • Sports

SIMBA KWENYE MSAKO KIMATAIFA DHIDI YA WAARABU, WATINGA MAKUNDI

Saleh2 years ago2 years ago02 mins

FT: UWANJA WA MKAPA Simba 3-1 Al Ahli Tripoli Cristovao Mabululu dakika ya 17 Simba mabao yamefungwa na Kibu Dennis dakika ya 36. Ateba dakika ya 45 bao la dakika ya 63 limefutwa kwa kile kilichoelezwa kuwa mfungaji alikuwa eneo la kuotea. Bao la tatu limefungwa na Edwin Balua dakikaya 89 ikiwa ni tiketi ya…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.