>

UEFA NATIONS LEAGUE KUTOA MAMILIONEA LEO

Unaweza kushinda mamilioni leo kwa kubashiri michezo mbalimbali ya michuano ya Uefa Nations League ambayo itapigwa leo, Kwani kipindi hiki ligi zimesimama michuano hii ndio inaweza kukupa kitita cha uhakika.

 

Michuano ya Uefa Nations League mbali na kujumuisha michezo mikali lakini pia imepewa Odds bomba sana kupitia tovuti ya Meridianbet, Hii ikiwa ni faida nyingine kwako wewe mteja kwani itakuwezesha kushinda kitita cha kibabe zaidi.

 

Moja ya michezo mikali ambayo itachezwa leo itakutanisha timu ya taifa ya Ureno mabingwa wa michuano ya Uefa Nations League 2019 dhidi ya wanafainali wa michuano hiyo mwaka 2024 timu ya taifa ya Croatia, Huku Ronaldo kule Modric mchezo ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa .

 

Mabingwa wa michuano ya Euro 2024 timu ya taifa ya Hispania leo watakua ugenini kumenyana na timu ya taifa ya Serbia, Mchezo huu Hispania wamepewa nafasi kubwa ya kushinda na wamepewa Odds nzuri sana ndani ya Meridianbet.

 

Kipute kingine kitachezwa pale kwenye dimba la Hampden Park ambapo timu ya taifa ya Scotland watakua nyumbani kuwakaribisha timu ya taifa ya Poland, Mchezo huu utakua mkali kwani timu zote mbili hazijapishana sana kwenye ubora na yeyote kati yao anaweza kuibuka mshindi katika mchezo huu.

 

Denmark watakua nyumbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Uswisi kwenye michuano ya Uefa Nations League, Timu hizi zimekua zikipeana mchezo mgumu kila zinapokutana michezo mitatu ya mwisho wametoka sare mara mbili na Denmark kushinda mara moja hivo mchezo wa leo unatarajiwa kua mkali na mgumu pia.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.