>

LIGI ZIMEREJEA NI FURSA YAKO YA KUPIGA KIBUNDA KIZITO

Wikiendi haiwezi kua wikiendi bila kwenda sambamba na jamvi la kibabe pale Meridianbet, Wakati huu ambao ligi zimerejea ni fursa yako ya kupiga kibunda kizito kwa kusuka jamvi matata na mabingwa wa michezo ya kubashiri.

Hakuna maelekezo mengine zaidi ya kufanya machaguzi yako kwa timu unazoamini zitakupatia kitita leo, Kwani ligi zote kubwa ulaya zimerejea leo kuanzia pale ligi pendwa nchini Uingereza, Hispania, Italia, Ufaransa, na Ujerumani.

EPL

Arsenal mapea kabisa atakipiga dhidi ya Brighton, West Ham wao watakua nyumbani kuikaribisha Manchester City, Brentford Vs Southampton, Leicester City watakipiga dhidi ya Aston Villa pale katika dimba la King Power.

LA LIGA

Vinara wa soka ligi kuu ya Hispania klabu ya Barcelona leo watakua nyumbani kuhakikisha wanaendeleza wimbi la ushindi dhidi ya Real Valladolid, Athletic Club wao watakua nyumbani kumenyana na Atletico Madrid, Huku klabu ya Valencia wakiwa nyumbani kumenyana na Villarreal kwenye dimba la Mestalla.

BUNDESLIGA

Ujerumani leo pia moto unakwenda kuwaka kweli ambapo mabingwa watetezi klabu ya Bayer Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Rb Leipzig, Weder Bremen watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Borussia Dortmund, Vfb Stuttgart watakipiga dhidi ya klabu ya Mainz.

SERIE A

Baada ya kupata ushindi mnono kwenye mchezo uliomalizika klabu ya Napoli leo itatafuta ushindi wake wa pili mfululizo dhidi ya klabu ya Parma kunako ligi ya soka nchini Italia, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Lazio dhidi ya Ac Milan ambao wametoka kupoteza mchezo wao wa mwisho waliocheza.

LIGUE 1

Ligi kuu ya soka kutoka nchini Ufaransa nayo sio haba kwani leo itakwenda kushuhudia michezo kadhaaa mikali ikipigwa katika madimba tofauti tofauti ambapo Brest watacheza dhidi ya Saint-Etienne, Toulouse watacheza dhidi ya Olympique Marseille ya kocha Roberto De Zerbi.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.