
MWAMBA KUTOKA MWANZA MWANZA AMEACHIA ZAWADI HII
LEGEND kwenye muziki Bongo Fareed Kubanda ambaye ni mzawa kutoka Mwanza ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Simba. Kazi hiyo ameiachia muda mfupi ikiwa ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani Agosti 13 ambapo kwenye nyimbo yake ya Agosti 13 akiwa na Salam Jay na Juma Nature alibainisha kuwa alizaliwa katika Hospital ya Bugando, Mwanza….