MALIPO YA DUBE KUMALIZANA NA AZAM YAKWAMA NJIANI
Taarifa zilizo thibitika ni kwamba Prince Dube amelipa kiasi cha $200,000 kwenda kwa Azam fc ili kuwa huru. Dube alifanya malipo hayo siku ya ijumaa jioni na kutuma vithibitisho vya malipo kwa uongozi wa Azam, uongozi wa Azam unakiri kupokea vithibitisho vya malipo hayo lakini mpaka sasa bado pesa hiyo haijafika kwenye akaunti ya Azam….