>

Kuwa Milionea kwa Kubashiri na Meridianbet Sasa

Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku ya leo, wewe ingia tuu Meridianbet kwani hapa utakutana na mechi kibao zinazopigwa ambapo utachagua timu zako za ushindi na ubashiri hapa.

Michuano ya COPA AMERICA leo hii saa saba usiku ndani ya kundi A, Peru ambaye ametoka kutoa sare mchezo wake wa kwanza, leo watakipiga dhidi ya Canada ambao walipoteza mchezo wao uliopita. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Canada akiwa na ODDS 2.30 kwa 3.23. Je nani ataondoka na ushindi leo?. Suka jamvi hapa.

Huku EURO kule COPA AMERICA unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Mechi kali itakuwa ni hii ya mabingwa wa Kombe la Dunia ambao pia ndio vinara wa kundi A, Argentina ambao wao wataumana dhidi ya Chile majira ya saa kumi usiku. Vijana wa Scalon wametoka kupata ushindi mechi yao ya kwanza huku Chile wakitoa sare.

Meridianbet wanaipa nafasi kubwa ya kushinda Argentina kwa ODDS 1.44 kwa 7.25, pia kikosi ambacho wanacho ni cha ushindi, wana Lionel Messi, Rodrigo De Paul, Lisandro Martinez, Julian Alvarez na wengine kibao. Wakati kwa upande wa Chile wao wana staa Alex Sanchez, Eduardo Vargas, Paul Diaz ambao wanakibarua kizito leo. Beti mechi hii.

Wakati kwa upande wa EURO 2024 mechi za hatua ya makundi zinatarajiwa kumalizika kesho ambapo mapema kabisa saa moja usiku kundi E ambalo wote wana pointi 3 watakuwa wakimenyana vikali sana.

Slovakia ataubonda dhidi ya Romania katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi hii ikipewa ODDS 3.23 kwa 3.77. Ikumbukwe kuwa kila timu hapa ina alama tatu hivyo ushindi ni muhimu kwa kila timu ili kusonga mbele hatua inayofuata ya 16 bora. Je nani atatoboa leo? Suka jamvi lako hapa.

Pesa ipo hapa Ukraine dhidi ya Belgium ambao wana nafasi kubwa ya kuibuka washindi wakiwa na ODDS 1.67 kwa 4.90. Ubelgiji yenye Lukaku, De Bruyne, Trossard na wengine wanahitaji ushindi pekee wasonge mbele, halikadhalika kwa upande wa UK nao wanataka ushindi wakiongozwa na Zinchenko, Yaremchuk, Mudryk hawa wote wanataka kuipambani timu yao. Hivyo na wewe pambana uondoke na pesa ndani ya Meridianbet leo. Jisajili hapa.

Majira ya saa nne usiku, Ronaldo na Ureno yake ambao wameshinda mechi zote mbili tena kwa kiwango kizuri, watakuwa na kazi ya kuifanya dhidi ya Georgia ambao walitoa sare mchezo wao uliopita.

Portugal wanapendelewa kuondoka na pointi tatu wakipewa ODDS 1.40 kwa 6,86 hapo kesho. Je Ronaldo na wenzake watamalizaje hatua ya makundi?. Bashiri sasa.

Wakati huo huo Uturuki baada ya kupigika vibaya mechi yao iliyopita, watakuwa na kibarua cha kukabiliana na Czech Republic ambao wanashika nafasi ya tatu kwenye kundi hilo. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku mechi hii ikipewa ODDS 2.50 kwa 2.74 na machaguo zaidi ya 1000. Nani kuondoka kifua mbele?. Tengeneza mkeka wako hapa.