Skip to content
December 18, 2024
  • WASHINDI WA SHANGWE LA SIKUKUU LEONBET WAPATIKANA, WABEBA TV, PIKIPIKI
  • SIMBA KUBADILI MBINU MBELE YA KEN GOLD
  • DIAO AREJEA ACHEKELEA KUFUNGA MBELE YA FOUNTAIN GATE
  • JARIBU KUCHEZA SLOTI HII YA KASINO YA MTANDAONI USHINDI RAHISI

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2024
  • June
  • 24

June 24, 2024

  • Sports

EURO INAZIDI KUPAMBA MOTO BETI SASA NA MERIDIANBET

Saleh6 months ago6 months ago06 mins

Wakali wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet wanakwambia hivi, wakati huu ndio wako wa kutusua mapene na mechi hizi za EURO na COPA AMERICA. Usisubiri kuhadithiwa ingia na ujaribu bahati yako. Didier Deschamps na France yake wataumana dhidi ya Poland ambao ndio vibonde wa kundi D wakiwa hawajashinda mechi hata moja mpaka sasa. Meridianbet wamempa nafasi…

Read More
  • Sports

CHAMA NA SIMBA NGOMA NZITO ISHU YA KUONGEZA MKATABA MPYA

Saleh6 months ago6 months ago01 mins

NGOMA ni nzito kwa mabosi wa Simba dhidi ya kiungo mshambuliaji Clatous Chama kuhusu ishu ya kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo msimu wa 2023/24 alotupia mabao saba na pasi sita za mabao mkataba wake umegota mwisho na hajaongeza dili jipya kutokana na kinachoelezwa kuwa anahitaji mshahara wa zaidi ya milioni 30….

Read More
  • Sports

RAIS WA YANGA AMPOKEA MGENI WAKE ACHRAF KATIKA UWANJA WA KIMATAIFA WA KILIMANJARO

Saleh6 months ago01 mins

Rais wa klabu ya @yangasc Mhandisi Hersi Said @caamil_88 amempokea Mgeni wake Achraf Hakimi @achrafhakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mchezaji huyo kutoka katika Klabu ya Paris Saint German (PSG) ya nchini Ufaransa ameambatana na rafiki zake saba atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2024. Powered By BlazeThemes.