ORODHA YA NYOTA WATAKAOKUTANA NA THANK YOU SIMBA

TAYARI dirisha la usajili limefunguliwa ambapo kuna wachezaji wanawindwa na timu tofauti Bongo huku kukiwa na maboresho kwenye timu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Simba. Kuna wachezaji ambao wanakutana na Thank You kwa wakati huu alianza nahodha John Bocco kisha Saido Ntibanzokiza kuna orodha ndefu inafuata.