WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika halmashauri zao na waviweka kwenye mipango ya maendeleo. “Nendeni mkawasikilize ili muwatambue, muwashike mkono na muwaongoze kushiriki katika kukuza uchumi wao binafsi kupitia miradi mbalimbali kwenye halmashauri” Amesema hayo leo (Jumapili, Juni 16, 2024)…

Read More

ZAIDI YA BILIONI 283 ZIMETOLEWA WIZARA YA MICHEZO

NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema kuwa zaidi ya bilioni 283 zimetolewa kwenye wizara ya michezo ikiwa ni mara 8 zaidi ya bajeti ya awali. Mwinjuma ameweka wazi kuwa shukrani zote ni kwa mwanamichezo namba moja Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye jitihada zake za kuunga mkono maaendeleo ya michezo zinaendelea….

Read More

BIASHARA UNITED MARA WAMEFIKA MKOANI TABORA WADAI KUPOKELEWA KWA KIPIGO

Biashara United Mara wamefika mkoani Tabora na kupokelewa kwa kipigo asubuhi hii wakati wanaenda kwenye pre match Meeting. Technical director Omary Madenge imeshambuliwa sana hali yake ni mbaya lakini pia amenyang’anywa baadhi vitu alivyokuwa navyo. Lakini pia viongozi wawili wa Biashara United Mara hawajulikani walipo, wamechukuliwa na kupelekwa kusikojulikana. Kwasasa gari iliyovamiwa na kushambuliwa ipo…

Read More

DIARRA AZUA JAMBO JIPYA HUKO YANGA ISHU YA MKATABA

KIPA chaguo la kwanza ndani ya Yanga, Djigui Diarra anatajwa kuwa ameomba kuongezewa mshahara ili aendelee kutimiza majukumu yake ndani ya timu hiyo. Ipo wazi kuwa Diarra ni moja ya makipa ambao wameleta ushindani mkubwa kwenye eneo la walinda mlango ambapo awali Aishi Manula wa Simba alijenga ufalme wake kwenye eneo hilo. Taarifa zinaeleza kuwa…

Read More

SAYARI YA PLANET 67 INA MAAJABU YAKE KASINO

Mfumo wa jua una sayari 9, lakini  wanasayansi wanasema kuna Zaidi ya sayari zimeonekana na uchunguzi unaendelea, Meridianbet nakupeleka hadi  nje ya dunia, safari ya kasino itakupeleka mpaka sayari ya kufikirika ya Planet 67 kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Planet 67 ni mchezo wa bingo wa kasino ya mtandaoni wenye nambari 90 ambapo wachezaji wanaweza…

Read More

KAMPUNI na UBALOZI WASITISHA MKATABA na KIPANYA KISA TUHUMA za MWIJAKU – WAKILI AFICHUA HASARA KUBWA

Wanasheria wanaomwakilisha Masoud Kipanya, wamewaambia waandishi wa habari kwamba kwene barua walitomuandikia Mwijaku, walimueleza kuwa anatakiwa kumlipa mteja wao kiasi cha shilingi bilioni tano kama fidia kwa kumchafua na kutoa tuhuma za uongo dhidi yake. Wakili Aloyce Komba kutoka kwa kampuni ya uwakili ya Haki Kwanza Advocates anayemwakilisha Kipanya kwa niaba ya mawakili wenzake, wamezungumza…

Read More