EURO 2024 NI YA KUKUSANYA PESA TU, SPAIN DHIDI YA CROATIA KITAWAKA LEO

Siku ya leo viwanja vitatu tofauti vitatikiswa kushuhudia nani anaondoka na pointi tatu. Tikisa mtaani kwenu na wewe kwa kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet.

Luciano Spalletti ndani ya Signal Iduna Park na Italy yake wanataka kutetea taji lao ambapo wataanza kukipiga dhidi ya Albania. Leo hii wamepewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe wa mechi kwa ODDS 1.34 kwa 9.21. Azzurri ina wachezaji wengi wazoefu kama vile Federico Chiesa, David Frattesi, Jorginho, Scamacca na wengine wengi ambao wanafanya vizuri na vilabu vyao. Huku Albania wao wachezaji wao ni kama vile Armando Broja, Ajeti, Asllan na wengine. Je wanaweza kumzuia bingwa mtetezi leo?.

Mechi kubwa na yenye maokoto ni hii ya Spain dhidi ya Croatia ambapo kwenye mechi ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu lakini leo hii Spain ana ODDS 1.91 kushinda mechi hii kwa 4.11.

Hispania utakutana na wachezaji kama Rodri, Yamal, Pedri Morata na wengine kibao ambao wanafanya vizuri kwenye ligi yao zao wanazocheza, huku kwa upande wa Croatia wao pia wana wachezaji kama vile Luca Modric lejendi kabisa huyu, Marcelo Brozovic, Kovacic na wachezaji wengine.

Wewe unaweza kupiga pesa mechi hii kwa kuingia meridianbet na kuchagua nani atakupa maokoto leo. Beti sasa.

Jumamosi ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sa

Mechi ya mapema kabisa leo itakuwa ni kati ya Hungary dhidi ya Switzerland majira ya saa kumi jioni ambapo Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Uswizi akiwa na ODDS 2.16 kwa 3.52 katika kundi A. Mechi 3 za mwisho kukutana Uswizi wameshinda zote.

Hungary ambao wapo chini ya kocha mkuu Marco Rossi wanataka kulipa kisasi hii leo kwenye EURO ambapo naye Murati Yakin wa Switzerland anataka kudumisha ubabe wao mbele ya mnyonge wao. Huku kuna Dominic Szoboslai, Roland Salai na kule Uswizi kuna Granit Xhaka, Shaqiri, Akanji na wengine kibao. Nani kuondoka na ushindi leo?. Beti hapa.