GEORGE WEAH, OKOCHA WASHIRIKI MASHINDANO YA DUNIA YA VILABU VYA WACHEZAJI WASTAAFU

 WACHEZAJI mbalimbali nyota wa zamani wakiongozwa na Ronadihno Gaucho na Rais wa zamani wa Liberia, George Weah watashiriki katika mashindano ya vilabu ya Dunia Veterans Club World Championship (VCWC) yaliyopangwa kufanyika mjini, Kigali, Rwanda. Mbali ya wachezaji hao maarufu, pia wachezaji nyota mwingine duniani, Jay Jay Okocha na Andy Cole watashiriki katika mashindano hayo kwa…

Read More

SIMBA YAIWINDA SAINI YA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mazungumzo ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Ihefu FC ambayo kwa sasa inaitwa Singida Black Stars, Ismail Mgunda. Nyota huyo Mgunda anayewaniwa vikali na Red Devils ya nchini Ghana ambayo inahitaji saini yake akapate changamoto mpya. Mgunda ndiye alikuwa anaunda safu nzuri ya ushambuliaji pamoja na Elvis Rupia katika kikosi…

Read More

LEO KITAWAKA AFRIKA MPAKA KULE ULAYA, PIGA PESA HAPA, TANZANIA USO KWA USO DHIDI YA ZAMBIA

Meridianbet wanakuuliza kuwa kama sio kupiga pesa leo utapiga lini?. Leo hii kuna mechi nyingi hapa Afrika mpaka kule Ulaya. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako utengeneze jamvi lako na ubashiri kijanja hapa. Rwanda atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Lesotho huku timu hizi zikiwa zimefatana kwenye msimamo. Mwenyeji anashika nafasi ya 2…

Read More

PROFESA JANABI AZIGEUKIA USAJILI YANGA, SIMBA

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji…

Read More

CHEZA SHINDANO LA EXPANSE KASINO! MAMILIONI YANAKUSUBIRI

Meridianbet wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi. Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…

Read More