KIBWANA SHOMARI TRANSFER UPDATES

Kibwana Shomari bado hajafanikiwa kupewa mkataba mpya na Yanga licha ya mkataba wake kumalizika. Mazungumzo ya mkataba mpya hayajawa kwa kiwango kikubwa kama ambavyo yapo kwa mastaa wengine kama Azizi Ki Kibwana Shomari malengo yake ni kusalia Yanga na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Kwanzaa. Lakini yupo tayari kuondoka endapo kuna timu itafikia…

Read More

YANGA WANA JAMBO LAO KUBWA

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wana jambo lao kubwa Juni 9 2024 ambapo ni Mkutano Mkuu wa Wanachama, (Annual General Meeting-AGM). Ni wazi kwamba chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetwaa taji la Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 80 na ilitwaa taji la CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Azam…

Read More

AZIZ KI UJANJA WAKE UPO HAPA BONGO

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga ujanja wake ndani ya uwanja ni mguu wa kushoto ambao ametumia kufunga mabao mengi zaidi. Ipo wazi kuwa msimu wa 2023/24 nyota huyo ni namba moja kwa utupiaji akiwa katupia mabao 21 baada ya msimu kugota mwisho akiwa ni mfungaji bora. Ujanja wake akiwa uwanjani ni kwenye mguu wa…

Read More

SHINDA TSH 4,750,000/= UNAPOCHEZA MICHEZO YA EXPANSE KASINO MTANDAONI

Promosheni Baabu Kubwa! Shindano la Expanse kila siku washindi wapya wanaibuka na kuzawadiwa bonasi za kasino, kitita cha maana Tsh 4,750,000/= kinakusubiri mwishoni mwa shindano, Jisajili Meridianbet na cheza michezo ya Expanse iliyopo Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa…

Read More

Piga Pesa na Mechi za Kirafiki leo Junamosi

Je unajiuliza unaanzaje Jumamosi yako?. Ni rahisi sana ukiwa na akaunti ya Meridianbet kwani hapa unaweza kutengeneza jamvi lako na kuweka mechi uzitakazo na baadae kuibuka mshindi. Beti sasa leo. Portugal atakiwasha dhidi ya Croatia saa 1:45 usiku ambapo timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita za kirafiki. Mchezo huo utachezwa kule Ujreumani huku takwimu…

Read More

NIGERIA YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI DHIDI YA AFRIKA KUSINI, ZAMBIA YACHAPWA

Nigeria imelazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Afrika Kusini katika dimba la Godswill Akpabio, Uyo Nigeria kwenye mchezo wa kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026. FT: Nigeria 🇳🇬 1️⃣ ➖1️⃣ 🇿🇦 Afrika Kusini ⚽ Dele-Bashiru 46’ ⚽ Themba Zwane 29’ FT: Morocco 🇲🇦 2️⃣➖1️⃣ 🇿🇲 Zambia ⚽ Ziyech 6’ ⚽ Ben Seghir 67’ ⚽…

Read More