![SIMBA NDANI YA DAR KAMILI KWA KETE YA MWISHO](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2024/05/Saido-Ntibanzokiza.png)
SIMBA NDANI YA DAR KAMILI KWA KETE YA MWISHO
NYOTA wa Simbaa baada ya kumaliza kete yao ya 29 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC wamerejea Dar kwa maandalizi ya kete ya mwisho msimu wa 2023/24. Ni Mei 25 ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya dakika 90 ulisoma Simba 1-0 KMC. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo…