
FT:MECHI MZUNGUKO WA PILI, AZIZ, FEI NGOMA NZITO
MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu Bara mechi nane zimechezwa na kurushwa mubashara Azam TV huku nyota wawili Feisal Salum wa Azam FC na Aziz KI wa Yanga kila mmoja akifunga kwenye mchezo husika. Fei kafunga mabao mawili dhidi ya Kagera Sugar akifikisha mabao 18 sawa na Aziz KI ambaye amefunga bao moja kwenye mchezo…