AZAM FC YATINGA FAINALI CRDB FEDERATION CUP
MATAJIRI wa Dar Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wamefanikisha lengo la kutinga hatua ya fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi wa mabao 3-0 Coastal Union. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, Azam FC wamekuwa wababe ndani ya dakika 90. Mabao mawili yamefungwa na Abdul Sopu ilikuwa dakika ya 42…