NYOTA WA SIMBA WANAPITIA KATIKA HALI YA KUPANDA NA KUSHUKA
KWA upande wa wachezaji wa Simba viwango vyao kwa sasa ni maji kupwa maji kujaa, mchezaji anaweza kucheza mchezo wa leo vizuri kesho akawa katika kiwango cha chini. Miongoni mwa wachezaji hao ndani ya Simba ni Willy Onana, ukimtazama aliyecheza mchezo dhidi ya Namungo kisha ukamuona aliyecheza dhidi ya Mtibwa Sugar tofauti kabisa. Hii ni…