
YANGA: USAJILI NI SANAA
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la usajili ni sanaa hivyo ni lazima anayefanya jambo hilo kujua ni kitu gani anakifanya kwa wakati huo. Ni Rais wa Yanga, Injnia Hersi Said amebainisha kuwa ni lazima kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kukamilisha usajili jambo ambalo ni muhimu kuzingatia katika kutimiza majukumu hayo. “Usajili ni sanaa,…