
FUNGAFUNGA MICHEL FRED AWAIBUA SIMBA
MWAMBA Michel Fred ambaye Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba anapenda kumuita fungafunga ameweka wazi kuwa mashabiki waendelee kuwa na mshikamano mambo mazuri yanakuja. Timu hiyo imetinga hatua ya fainali Kombe la Muungano 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KVZ inatarajiwa kumenyana na Azam FC Aprili 27 katika mchezo…