ARSENAL NA CHELSEA NANI KUIBUKA MBABE LEO?

Uingereza kutapigwa mechi kubwa na ya kibabe kabisa katika ya miamba miwili ya soka kutoka jiji la London klabu ya Arsenal watacheza dhidi ya Chelsea. Mchezo huu ni mchezo wa Derby kwani vilabu vyote vinatoka katika jiji la London na timu zinazokutana pia ni kubwa, Hivo inatosha kuonesha mchezo wa leo utakaokwenda kupigwa katika dimba…

Read More

JKT TANZANIA V YANGA KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Aprili 23 2024 Uwanja wa Meja Isamuhyo umeahirisha. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao ulitarajiwa kuchezwa kwa dakika 90 kusaka mshindi ambaye angekomba pointi tatu. Timu zote mbili zilikuwa zimewasili uwanjani kwa ajili ya mchezo huo wa ligi uliokuwa…

Read More

SIMBA HAO ZANZIBAR

KIKOSI cha Simba leo kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Muungano Cup 2024. Simba haijawa kwenye mwendo mzuri ndani ya ligi baada ya kukwama kuonyesha uwezo wake wa kutumia nafasi dhidi ya Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara. Mzunguko wa kwanza ilipoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-5…

Read More

INONGA KWENYE ULIMWENGU WAKE SIMBA

HENOCK Inonga katika Ligi Kuu Bara sio chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Abdelhakh Benchikha kwa kuwa anatumia muda mwingi nje ya uwanja. Beki huyo yupo kwenye ulimwengu wake mwenyewe kutoakana na kutokuwa kwenye ubora wake katika mechi ambazo wanacheza msimu huu. Msimu wa 2023/24 umekuwa ni mbaya kwake baada ya kuumia katika mchezo wa…

Read More

YANGA KWENYE KAZI NYINGINE TENA

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Yanga Aprili 20 2024 imetka kukomba pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-1 Simba hivyo ndani ya msimu wa 2023/24 nje…

Read More