
YANGA YAPETA SPORTPESA DABI
YANGA wanaondoka na faida ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Ni kwenye SportPesa Dabi Yanga wameibuka wababe kwa kukomba pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo baada ya dakika 90. Joseph Guede ameandika rekodi ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na dakika ya…