
SIMBA: TUMEUMIZWA VIBAYA MNO
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba umeumizwa vibaya kukwama kupata matokeo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ilikuwa ni kwenye CRDB Federation raundi ya nne ambapo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 1-1 Simba na kwenye penalti ilikuwa Mashujaa 6-5 Simba. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…