Skip to content
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup, Yanga wanatupa kete yao dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza namna hii:-
Djigui Diarra
Fred
Nondo
Bacca
Maxi
Kibabage
Sure Boy
Mudathir Yahya
Mzize
Aziz KI
Okra
Mshery, Kibwana, Farid, Aucho, Mkude, Shekhan, Makudubela, Nkane, Guede.