KARIAKOO DABI HII HAPA KITAWAKA

ZINAHESABIWA siku kwa sasa kutokana na tarehe kuwa wazi kwa kuwa tayari imeshapangwa na taarifa kwa kila timu zimefika mahali pake kwa mujibu wa taarifa. Ikumbukwe kwamba Yanga na Simba walikuwa na kazi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wamegotea wote hatua ya robo fainali. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza tarehe ya mchezo wa…

Read More

SIMBA MIKONONI MWA MASHUJAA KIGOMA

BAADA ya kufungashiwa virago kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imerejea Bongo na ina kazi yakufanya kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa FC ya kutoka Kigoma. Hivyo Simba ipo mikononi mwa Mashujaa kwenye msako wa ushindi ndani ya dakika 90 Uwanja wa Lake Tanganyika. Ipo wazi kwamba Simba imegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa…

Read More

YANGA YAITANGAZIA VITA SIMBA

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More