ISHU YA KAYOKO NA LAWAMA ZA SIMBA IPO HIVI

AMEANDIKA Jembe Moja ya sifa ya mashabiki wa Simba ni utaratibu au upole… Lakini pia wana sifa ya ukorofi wanapochoka. Hili la kumkataa mwamuzi Kayoko si zuri katika mchezo wetu wa soka. Lakini tujiulize ni kwanini linatokea na kweli mwamuzi huyo amekuwa akikosea sana mechi zinazoihusu timu hiyo? Kayoko mwenyewe pia anaweza kujitafakari kwamba amekuwa…

Read More

AMEWEKA REKODI HII MWAMBA WA YANGA

MWAMBA Mudathir Yahya ameweka rekodi ya kuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0 Yanga ambapo wapinzani wao walitumia mbinu ya kujilinda zaidi….

Read More

WAKAZI WA MWENGE WAFIKIWA NA MERIDIANBET

Kampuni kubwa za ubashiri Tanzania Meridianbeti ikiwa na machaguo zaidi za 1000, imeendelea kurudisha kile kidogo wakipatacho kwenye jamii huku safari hii wakiwaangalia wakazi wa eneo la Mwenge hasa dereva bodaboda, bajaji na wasimamizi wa maegesho za magari. Je unajua ni kwanini meridianbet  hurudisha kwenye jamii mara zote? Basi mimi nakumegea siri hii leo ni…

Read More

SIMBA YAGAWANA POINTI NA AZAM FC

UBAO wa Uwanja wa CCM Kirumba umesoma Simba 1-1 Azam FC na mwamuzi wa kati alikuwa ni Ramadhan Kayoko Ni Prince Dube alianza kufunga dakika ya 14 bao hilo likawekwa usawa na Clatous Chama dakika ya 90 kwa pigo la faulo. Wanagawana pointi mojamoja huku wakiachwa kwa pointi 7 na vinara Yanga wenye pointi 37…

Read More

USHINDI KWA NJIA 100, CHEZA KASINO YA REGAL CROWN 100

Kutana na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo hujikusanya katika nguzo za malipo. Kupitia bonasi ya Pin Win, unaweza kushinda jackpot tatu za kuvutia. Regal Crown 100 ni mchezo wa kasino mtandaoni wenye nguzo tano zilizowekwa katika mistari minne na ina…

Read More

FT: YANGA 2-1 MASHUJAA, LIGI KUU BARA

YULEYULE shujaa kwenye mchezo uliopita dhidi ya Dodoma Jiji, Mudathir Yahya leo tena kafunga bao la ushindi dhidi ya Mashujaa. Dakika ya 85 zikiwa zimesalia dakika tano mpira kugota mwisho akafunga bao la ushindi na kuipa pointi tatu Yanga inayofikisha pointi 37 ikiwa namba moja kwenye msimamo. Kipindi cha pili Mashujaa wamepata bao la kuweka…

Read More

WAZIRI MKUU MGENI RASMI TASWA

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini “TASWA Media Day Bonanza 2024”. Bonanza hilo maalumu linatarajiwa kufanyika Februari 10, 2024 Msasani Beach Club, Dar. Tukio hilo linatarajiwa kuanza saa 3:00 asubuhi, litahusisha pia uzinduzi wa Tuzo za Wanamichezo Bora wa…

Read More

MUDA MKALI WA MABAO YA USIKU YANGA

KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja wa Azam Complex. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata sare yake ya kwanza msimu wa 2023/23 Februari 2 ubao wa Uwanja wa Kaitaba uliposoma Kagera Sugar 0-0…

Read More