UJANJA WA MSHAMBULIAJI MPYA GUEDE UPO HAPA
AMEFUNGUA akaunti ya mabao ndani ya Bongo mshambuliaji Joseph Guede kwa kufunga mabao mawili mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Polisi Tanzania Uwanja wa Azam Complex.
AMEFUNGUA akaunti ya mabao ndani ya Bongo mshambuliaji Joseph Guede kwa kufunga mabao mawili mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Polisi Tanzania Uwanja wa Azam Complex.
NYOTA wa Yanga, Mudathir Yahya ameweka rekodi yake ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
WAKIWA Anflield wamebakiza pointi tatu mazima kwa USHINDI dhidi ya Luton Town mchezo wa Premier League. Wababe hao walipindua meza kibabe wakiwa nyumbani na kukomba pointi tatu mazima. Ni Chiedozie Ogbene alianza kufunga dakika ya 12 lilidumu mpaka wanakwenda mapumziko. Dakika ya 56 beki Virgil van Dijk aliweka usawa, Cody Gakpo aliongeza bao la pili…
KUTOKA Tanzania mwamuzi Ahmed Arajiga amepata shavu la kuwa miongoni mwa waamuzi kwenye mashindano ya All African Games ikiwa ni jambo la kujivunia hivyo ana kazi ya kuongeza umakini kwenye kutimiza majukumu yake. Ipo wazi kuwa waamuzi wa Bongo wamekuwa wakiingia kwenye lawama mara kwa mara kutokana na kile kinachotajwa kutokuwa na maamuzi makini ya…
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama aachwe kutokana na kile ambacho anakifanya ndani ya uwanja akiwa akitimiza majukumu ndani ya Simba
Michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya itaendelea kupigwa tena leo katika viwanja viwili ambapo mteja wa Meridianbet anaweza kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo hiyo mikali itakayopigwa usiku wa leo. Michezo hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet na ndio sababu wewe mteja unaweza kuokota maokoto yako kirahisi kabisa kupitia michezo itakayopigwa leo katika viwanja…
Je unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam konini ukitembelea uwanja wa michezo ya kasino ya mtandaoni. Masharti uwe umejisajili na Meridianbet ili uweze kushiriki promosheni hii. Ni rahisi sana kupata mgao wako kutoka kwenye hii promosheni, ni kama vile kunywa…
NYOTA wa Yanga, Joseph Guede na Okra Magic wametaka kwenye mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Polisi Tanzania kwa kupiga kazi kubwa mwanzo mwisho. Ni Februari 20 ubao wa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 ulisoma Yanga 5-0 Polisi Tanzania ambao wanafungashiwa virago kwenye mashindano hayo . Katika mchezo huo mabao yalifungwa…
KAZI imeanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mchezaji kupambania kuonyesha uwezo wake uwanjani huku kukiwa na vita kubwa kwenye upande wa washambuliaji kuonyesha uwezo wao. Baada ya mechi za hivi karibuni mastaa wa Simba na Yanga kila mmoja alikuwa na kazi ya kufanya ni Michael Fred wa Simba na Joseph Guede mwamba wa…
KUSUBIRI sasa inatosha kazi mpya kwa ajili yako hii hapa Chris Jabari ambaye aliweka wazi mpango kazi ndani ya 2024 ni kuachia EP yake, hii hapa isikilize na waambie wenzio kwamba kazi ipo kwa ajili yako
UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa kwa sasa wameanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Azam Sports Federation dhidi ya Nyamongo kutoka Musoma. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara uliochezwa Februari 19 ubao ulisoma Tabora United 0-0 Azam FC wakagawana pointi mojamoja. Pointi moja kwa Azam FC imewapa jumla ya pointi 36…
WAKIWA ni vinara wa Ligi Kuu Bara ndani ya msimu wa 2023/24 uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kazi ndani ya uwanja huku akiwaambia mashabiki kuwa wale ambao wamechagua timu hiyo wamechagua furaha.
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatambua mchezo wao ujao dhidi ya ASEC Mimosas utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kupata ushindi. Alfajiri ya Jumanne kikosi cha Simba kilianza safari kutoka Tanzania kuelekea Ivory Coast kikiwa na jumla ya wachezaji 22 pamoja na benchi la ufundi. Ni Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha yupo na kikosi…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad Jumamosi, Uwanja wa Mkapa, Yanga leo wanakibarua mbele ya Polisi Tanzania. Ni mchezo wa Azam Sports Federation hatua ya 16 bora unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku sawa na muda wa mchezo wao ujao Ligi ya Mabingwa Afrika ambao…
UEFA leo hii inaendelea kwa mechi mbili pekee kule Italia na Uholanzi ambapo timu hizo zitakuwa zikichuana vikali kuwania hatua ya kufuzu Robo Fainali ya ligi za mabingwa. Na wewe una nafasi ya kuwa bingwa leo. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hizo. Mechi yenye ODDS KUBWA na za kibabe itakuwa ni hii kati ya PSV…
Unapotembelea kasino ya mtandaoni ya Meridianbet bila shaka huwa unakutana na michezo mingi ya Poker na kasino lakini mchezo wa All Aces Poker bado unabaki kuwa miongoni mwa michezo ya kuvutia zaidi kwa wapenzi wa kasino ya mtandaoni. JISAJILI NA MERIDIANBET kama bado ili usipitwe na mchezo huu. Kutoka kwa watengenezaji wa michezo Microgaming,…
NI wazi kuwa Tanzania imeng’ara baada ya mwakilishi pekee kinda Mtanzania, Harrith Chunga Misonge mwenye umri wa miaka 12 kuwa gumzo. Misonge mkazi anaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Phygital Football for Friendship akiwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Mwakilishi mwingine ni mtoto kutoka Afrika ya Kati lakini hajang’ara kama Misonge ambaye…