TABORA UNITED YAAMBULIA 4G KUTOKA KWA SIMBA
WENYEJI Tabora United wakiwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wamekubali kupoteza pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba ndani ya dakika 90 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ulikuwa ni kiporo. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Tabora United 0-4 Simba wakikomba pointi tatu ugenini. Mabao ya Simba yamefungwa na Pa Omary Jobe dakika…