PIGA MKWANJA WA KUTOSHA NA MERIDIAN KUPITIA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya itaendelea kupigwa tena leo katika viwanja viwili ambapo mteja wa Meridianbet anaweza kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo hiyo mikali itakayopigwa usiku wa leo. Michezo hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet na ndio sababu wewe mteja unaweza kuokota maokoto yako kirahisi kabisa kupitia michezo itakayopigwa leo katika viwanja…

Read More

FRED V GUEDE BADO WANAJITAFUTA HUKO

KAZI imeanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mchezaji kupambania kuonyesha uwezo wake uwanjani huku kukiwa na vita kubwa kwenye upande wa washambuliaji kuonyesha uwezo wao. Baada ya mechi za hivi karibuni mastaa wa Simba na Yanga kila mmoja alikuwa na kazi ya kufanya ni Michael Fred wa Simba na Joseph Guede mwamba wa…

Read More

TABORA UNITED NGUVU ZAO NI FA SASA

UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa kwa sasa wameanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Azam Sports Federation dhidi ya Nyamongo kutoka Musoma. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita katika Ligi Kuu Bara uliochezwa Februari 19 ubao ulisoma Tabora United 0-0 Azam FC wakagawana pointi mojamoja. Pointi moja kwa Azam FC imewapa jumla ya pointi 36…

Read More

SIMBA NDANI YA IVORY COAST KUIWINDA ASEC MIMOSAS

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unatambua mchezo wao ujao dhidi ya ASEC Mimosas utakuwa na ushindani mkubwa lakini wapo tayari kupata ushindi. Alfajiri ya Jumanne kikosi cha Simba kilianza safari kutoka Tanzania kuelekea Ivory Coast kikiwa na jumla ya wachezaji 22 pamoja na benchi la ufundi. Ni Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha yupo na kikosi…

Read More