SIMBA WANAWAFUATA ASEC MIMOSAS NAMNA HII
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas wawakilishi Simba wamebainisha kwamba maandalizi yapo tayari na mpango wao ni kupata matokeo mazuri. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Februari 23 siku ya Ijumaa kwenye msako wa pointi tatu kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Meneja wa…