Skip to content
December 17, 2024
  • IJUE CHELSEA MPYA YAPANDA KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA
  • AL AHLY YATWAA TUZO TIMU YA MWAKA AFRIKA, DIAMOND ATOA SHOO
  • BARBRA BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA KWA MWAKA 2024 KWA UPANDE WA WANAWAKE
  • ADEMOLA LOOKMAN ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (BALLON D’OR)

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2024
  • February
  • 18

February 18, 2024

  • Sports

AMEJUMUISHWA CHAMA KWENYE ORODHA YA WALIOPEWA MASHARTI MAZITO

Saleh10 months ago10 months ago01 mins

MWAMBA wa Lusaka, Clatous Chama amejumuishwa kwenye orodha ya nyota wa Simba ambao wamepewa masharti mazito katika kutimiza majukumu yao ndani ya timu hiyo iliyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara

Read More
  • Sports
  • Uncategorized

AUCHO KWA MIKATO YA KIMYAKIMYA ANA BALAA

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

NYOTA wa kimataifa ndani ya Yanga, Khalid Aucho anaingia kwenye orodha ya namba sita watembeza mikato ya kimyakimya ndani ya uwanja kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kasi hiyo katika mechi za hivi karibuni. Ipo wazi kwamba Aucho ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekuwa na mwendelezo wa matukio ya kutembeza mikato…

Read More
  • Sports

ANAKUJA MSHAMBULIAJI WA KAZI YANGA

Saleh10 months ago01 mins

MABOSI wa Yanga wanatajwa kuwa sokoni kusaka saini ya mshambuliaji wa kazi ambaye ataongeza nguvu katika kikosi hicho kushirikiana na nyota Guede ikiwa ataendelea kusalia ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi

Read More
  • Sports

MERIDIANBET SEHEMU PEKEE YA KUPIGA MKWANJA LEO

Saleh10 months ago10 months ago04 mins

Usihangaike kwenda popote sehemu ni moja tu yenye ODDS za uhakika na kubwa Meridianbet ndio mahali unaweza weka mkeka wako na kujipigia mkwanja bila wasiwasi, Hivo wewe mteja kupitia michezo mikali itakayopigwa leo nafasi yakupiga mkwanja na mabingwa wa hao wa michezo ya kubashiri ipo nje nje. Michezo hiyo itapigwa kuanzia ligi kuu ya Uingereza,…

Read More
  • Sports
  • Uncategorized

SIMBA INAPASWA KUBADILIKA KABISA MAMBO BADO

Saleh10 months ago10 months ago02 mins

ANAANDIKA Jembe Inawezekana naona tofauti na wengi lakini naona kuwa lazima kuna mambo kadhaa ambayo Simba wanapaswa kubadilisha katika kikosi chao ili kukifanya kuwa bora… Mechi iliyopita Vs JKT kunaweza kuwa na sababu ya kiwanja lakini unaona suala la kikosi kinachopambana linabaki kwa baadhi ya wachezaji na wengine wanaonekana kuwa slow au kama wamechoka hivi……

Read More
  • Entertainment
  • Featured
  • International
  • Sports

TAWASIFU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD NGOYAI LOWASSA

Saleh10 months ago018 mins

  Tumsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu Asifiwe, Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Raha ya Milele umpe Eeeh Bwana, apumzike kwa Amani. Tunaposimama hapa leo, mioyo yetu imejaa huzuni na machozi, lakini pia, imejaa shukrani na heshima kwa maisha ya kipekee ya Baba…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2024. Powered By BlazeThemes.