
GEITA GOLD YAPOTEZA MBELE YA SIMBA
KWENYE mechi mbili mfululizo Uwanja wa CCM Kirumba, Simba inaambulia pointi dakika za lala salama katikà mchezo wa Ligi Kuu Bara. Walianza Februari 9 ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC, bao lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 90 Simba wakakomba pointi moja. Februari 12 ubao umesoma Geita Gold 0-1 Simba bao likifungwa na Babacar Sarr…