ISHU YA KAYOKO NA LAWAMA ZA SIMBA IPO HIVI
AMEANDIKA Jembe Moja ya sifa ya mashabiki wa Simba ni utaratibu au upole… Lakini pia wana sifa ya ukorofi wanapochoka. Hili la kumkataa mwamuzi Kayoko si zuri katika mchezo wetu wa soka. Lakini tujiulize ni kwanini linatokea na kweli mwamuzi huyo amekuwa akikosea sana mechi zinazoihusu timu hiyo? Kayoko mwenyewe pia anaweza kujitafakari kwamba amekuwa…