JE NI NIGERIA AU IVORY COAST FEBRUARI 11 AFCON?
Je ni Nigeria au Ivory Coast siku ya Jumapili fainali ya AFCON?. Hatimaye sasa mbivu na mbichi kufahamika siku hiyo ambapo timu hizo mbili zitakuwa zikiwania ushindi wa Kombe hilo kubwa Barani AFRIKA. Jumapili ndipo Fainali ya michuano hii ya AFCON 2023 itatamatika kwa kushuhudia fainali kali kati ya Nigeria dhidi ya Ivory Coast ambao…