
SIMBA KUINASA SAINI YA NYOTA HUYU
INAELEZWA kuwa Edwin Balua ambaye ni winga yupo kwenye hesabu za kusjiliwa na mabosi wa Simba. Kwa sasa kikosi cha Simba kimeweka kambi Zanzibar ambapo kinashiriki Mapinduzi Cup 2024 na leo Ijumaa kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya APR. Nyota huyo anatajwa kufikia kwenye hatua nzuri ya kusaini dili la miaka miwili…