Tajirika na Maokoto ya Meridianbet Leo

Leo tena kipute cha ligi pendwa Duniani yani EPL inatarajiwa kuchezwa hii leo na kesho mecho zote huku kila timu ikihitaji ushindi kama wewe mteja ambavyo unahitaji ushindi ukibeti na meridianbet. Ingia sasa na ubeti. Vijana wa Roberto De Zerbi Brighton watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi…

Read More

UGUMU WA YANGA MWISHO

UNAWEZA kusema zilikuwa siku ngumu kwa mashabiki wote wa Yanga baada ya kukaa muda mrefu bila kuishuhudia timu yao ikicheza katika ardhi ya Tanzania, jambo ambalo linatarajiwa kugota ukingoni leo Januari 30. Mabingwa hao watetezi watakakuwa na kibarua kusaka ushindi dhidi ya Hausing FC katika mchezo wa kombe la la Shirikisho la Azam Sports. Mchezo…

Read More

MWAKINYO ATUMA SALAMU KWA TWAHA

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBO Afrika kwa kumchapa Mghana, Elvis Ahorga kwa KO ya raundi ya sana katika pambano la raundi kumi kwenye uzani wa super middle ambalo limepigwa New Amaan Complex, Zanzibar. Mwakinyo ameshinda pambano hilo huku akiweka rekodi za kushinda mkanda wa ubingwa…

Read More

MABINGWA WATETEZI SENEGAL WAMEUMALIZA MWENDO

HATIMAYE bingwa mtetezi Senegal katika Kombe la Mataifa Afrika mwendo ameumaliza kwa kufungashiwa virago na Ivory Coast. Senegal walikuwa ni mabingwa wa 2022 wa AFCON safari yao imegota mwisho baada ya kupoteza mbele ya Ivory Coast kwenye mchezo ambao walikuwa wakipewa nafasi kubwa ya kusonga hatua inayofuata. Ilikuwa ni hatua ya 16wanaishia wakikwama kutinga robo…

Read More