MWAKINYO: SINA HOFU NA MABONDIA WENYE MIILI WALA PIKO
BONDIA Hassan Mwakinyo ametoa maneno ‘mbofumbofu’ kwa kueleza kwamba haogopi mabondia wenye miili mikubwa na pia huwa anafurahia kuona ‘piko’ anazojichora bondia huyo. Huo ni mkwara kwa moja ya mabondia Bongo ambao wana michoro kwenye miili pamoja na kuwa na umbo kubwa. Mkwakinyo karusha jiwe gizani ambapo hajamtaja bondia ambaye wamekuwa wakiingia kwenye vita ya…