
TWAHA KIDUKU AFANYA KWELI
BONDIA Twaha Kiduku amechapa Lago Kiziria kutoka Georgia kwa pointi na kufanikiwa kutetea taji lake la UBO huku akishinda taji jipya la PST hapa katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro. Baada ya ushindi huo Twaha ambaye ni mzawa ameweka wazi kuwa furaha ya ushindi ni kubwa na hatarudi nyuma kwa kuwa anahitaji kufanya vizuri zaidi. “Wamezoea…