BAADA YA KUPOTEZA, YANGA WAJA NA TAMKO HILI
UONGOZI wa Yanga umesema ligi bado ndefu hivyo bado nafasi ipo kufanya vizuri mechi zinazofuata. Oktoba 4,2023 ubao wa Uwanja wa Highland Estate ulisoma Ihefu 2-1 Yanga. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 kwenye mchezo wa ligi ambao Yanga ilicheza ugenini dhidi ya Ihefu ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema:…